Simba inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, Jumamosi iliyopita ilikubali kichapo cha bao 1-0 ugenini ikiwa ni kipigo cha tatu ...
MATOKEO yasiyoridhisha inayoendelea kuyapata Simba kwenye Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa, yamemuibua nyota wa zamani ...
Katika hali ya kawaida, mchezo huu ungebeba kila aina ya mvutano, makelele yangepigwa wiki nzima. Huu ndiyo mchezo wa kuamua ...
Simba wametoka Berkane wakiwa wamefungwa 2-0, lakini hawajachapwa. Walianguka bila kupasuka, inasubiriwa kuona kama wanaweza ...
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki ...
Senegal imetwaa ubingwa Jumapili wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON baada ya kuwacharaza wenyeji Morocco bao 1-0 katika ...
Okwi anatarajiwa kutua Dar es salaam majira ya saa tatu usiku na Jumapili atakutana na uongozi wa Simba ambapo mchakato wa kusaini mkataba utafanyika Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Simba wanyika wako kundi E:Holland,Japan na Denmark. Simba wa nyika-Kameroun, wanaelewa ndio wafalme wa msituni.Jukumu lao Afrika nzima inawatazamia kutekeleza, sio tu kunguruma katka Mbuga ya Kruger ...