Je, vipimo vya usalama wa magari vinazingatia miili ya wanawake? Kwa kweli, kwa miongo kadhaa watengenezaji wa magari wametegemea magari bandia kwa majaribio kupima vipimo vya miili ya wanaume, ambayo ...
Wengi wanaogopa mzigo wa ziada wa kifedha, kufuatia kuanzishwa hivi karibuni kwa leseni za udereva za kibayometriki na ukaguzi wa lazima wa magari. Kutokana na utata huo, Wizara ya Fedha imefafanua ...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema matumizi ya serikali, hasa katika ununuzi wa magari na kugharamia mafuta na matengenezo yake, vinaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi. Viongozi wakuu wa chama hicho ...
MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amekabidhi magari matatu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga,huku akimpongeza Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi na kuboresha huduma za ...
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa. Katika hali kama hiyo, swala la kununua gari mpya kabisa au kununua gari lililotumika ...